Revenue Bills & Regulations 2025 Public Participation |
Toa maoni kuhusu sheria zinazopendekezwa kuongoza ukusanyaji wa Ushuru
Sheria na Miswada ya Ushuru 2025
- Sheria ya Mamlaka ya Ushuru/Mapato ya Kaunti ya Taita Taveta Mwaka 2025
- Sheria za Utozaji Leseni za Biashara ya Kaunti ya Taita Taveta 2025
- Mswada wa kutoa mwongozo wa Kusimamia Utozaji Ushuru Taita Taveta 2025
- Mswada wa Kodi ya Ardhi na Majengo wa Kaunti ya Taita Taveta, 2025.
- Kanuni za Kodi ya Mali Kaunti Ya Taita Taveta, 2025
- Mswada wa Kusimamia Uegeshaji Magari Katika Kaunti ya Taita Taveta, 2025
- Mswada wa Kuongoza Matangazo ya Biashara kwa Mabango Kaunti ya Taita Taveta, 2025.
Revenue Bills and Regulations 2025:
- TAITA TAVETA REVENUE AUTHORITY BILL
- TAITA TAVETA COUNTY TRADE LICENSING BILL
- TAITA TAVETA COUNTY REVENUE ADMINISTRATION BILL
- Taita Taveta County Rating Bill 2025
- TAITA TAVETA COUNTY RATING (ADMINISTRATION, COLLECTION, RECOVERY AND ENFORCEMENT) REGULATIONS, 2025
- TAITA TAVETA COUNTY PARKING MANAGEMENT BILL
- Taita Taveta County Outdoor Advertising Bill 2025
Bonyeza hapa kusoma nakala za sheria za ushuru zinazopendekezwa:
Draft Revenue Bills and Regulations 2025 can be accessed through this link:
https://taitataveta.go.ke/county-bills-policies-regulations/
Ufupisho wa sheria hizo:
https://taitataveta.go.ke/download/policy-briefs-for-revenue-bills/
Toa mapendekezo yako kwa kila mswada hapa.
The form will capture your input and recommendations on the specific bills and regulations.
[Data collected from this tool is protected by the Data Protection Act (2019) ]